undergraduate admission_guidebook

Kwa wale wote wanaojiandaa kuingia chuo kikuu mwaka huu angalia vyuo na faculty mbalimbali zinazo patikana katika vyuo vikuu hapa nchini,Kitabu hiki cha TCU kinajumuisha vyuo vyote vya Tanzania bara na Tanzania visiwani pia inaonyesha ni faculty gani zinazopewa kipaumbele katika bodi ya mikopo,Jiandae sasa download kitabu hapo chini.


DOWNLOAD
kitabu hiki kilitumika na wanafunzi walioomba nafasi za chuo mwaka jana,mala nyingi huwa hakuna mabadiliko kwa wale wenye maswali nenda kwenye menu ya contacts pale juu utakuta mawasiliano
Previous
Next Post »